Riziki Said Lulida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Riziki Said Lulida (amezaliwa tarehe 31 Julai 1955) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama tawala cha CCM.

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [2][3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]