Rick Aviles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rick Aviles
Rick Aviles.jpg
Aviles as Wille Lopez in Ghost (1990)
Amezaliwa Richard Anthony Aviles
14 Oktoba 1952
New York, New York, US
Amekufa 17 Machi 1995 (umri 42)
Los Angeles, California, US
Kazi yake Mwigizaji, Mchekeshaji-wa-wima

Rick Aviles (14 Oktoba 195217 Machi 1995) alikuwa mchekesha-wa-wima na mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anakumbukwa sana kwa kucheza kwake uhusika wa Willie Lopez kutoka katika filamu ya Ghost.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Filamu[1]
Mwaka Filamu Kama
1981 The Cannonball Run Mad Dog
1984 Billions for Boris Hector
1987 Street Smart Solo
The Secret of My Success Maintenance man
1988 Mondo New York Comic in park
Spike of Bensonhurst Bandana
1989 Mystery Train Will Robinson
Identity Crisis El Toro
1990 Ghost Willie Lopez
The Godfather Part III Mask #1
Green Card Vincent
1993 The Saint of Fort Washington Rosario
Carlito's Way Quisqueya
1995 Waterworld Gatesman
1996 Joe's Apartment Cockroach
Tamthiliya
Mwaka Tamthiliya Kama
1980 Mr. and Mrs. Dracula Mario
The Day the Women Got Even Pancho Diaz
1989 No Place Like Home J.J.
1991 Monsters
The Carol Burnett Show Skit characters
1993 Moon Over Miami Frankie
1994 The Stand Rat man

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rick Aviles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.