Nenda kwa yaliyomo

Richard Turner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Turner (1942 - 8 Januari 1978) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi kutoka Afrika Kusini. Kwa vile aliandika na kufanya utafiti dhidi ya ubaguzi wa rangi, alizuiliwa na serikali; halafu aliuawa na watu wanaosemekana kuwa watumishi wa serikali.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Turner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.