Nenda kwa yaliyomo

Richard B. Hays

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Bevan Hays (4 Mei 19483 Januari 2025) alikuwa mtaalamu wa Agano Jipya kutoka Marekani na Profesa mstaafu wa Agano Jipya katika shule ya Divinity ya Duke huko Durham, North Carolina. Alikuwa pia mchungaji aliyetoholewa katika Kanisa la United Methodist. Hays alifariki tarehe 3 Januari 2025 akiwa na umri wa miaka 76. [1]

  1. "The Word Leaps the Gap: Essays on Scripture and Theology in Honor of Richard B. Hays". Eerdmans Publishing Co. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.