Nenda kwa yaliyomo

Ricardo Pereira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pereira na Ureno kwenye Kombe la Dunia la 2018

Ricardo Pereira (anayejulikana kama Ricardo; amezaliwa tarehe 6 Oktoba mwaka 1993) ni mchezaji wa soka kutoka Ureno ambaye anacheza klabu ya Uingereza ya Leicester City.

Baada ya kuanzia Vitória de Guimarães,kushinda Taji la de Portugal mwaka 2013 na kuwa mchezaji bora wa mashindano katika mchakato huo,alijiunga na Porto, akiwa kikosi cha kwanza kilichoshinda Premier League Liga 2017-18 lakini pia anatumikia miaka miwili kwa mkopo katiaka Klabu ya ufaransa Nice. Kimataifa tangu mwaka 2015, Ricardo aliwakilisha Ureno katika Kombe la Dunia ya 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo Pereira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.