Ribeira do Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Ribeira na Vale do Paul karibu na Eito
Picha ya Ribeira na Vale do Paul karibu na Eito

Ribeira do Paul ni korongo nchini Kapo Verde.

Vyanzo vya mkondo waviko kaskazini mashariki mwa kreta ya Cova, karibu na makazi ya Cabo da Ribeira . Inapita kwenye korongo jembamba na mwinuko, kando ya makazi ya Campo de Cão na Eito, na inatiririka hadi Bahari ya Atlantiki kwenye mji wa Pombas. Kuna kilimo kidogo katika bonde, kuzalisha miwa, kahawa, viazi vikuu, ndizi, papai na maembe. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Parc Naturel Cova, Paúl et Ribeira da Torre, UNESCO