Rhein Brewster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rhein Joel Brewster (alizaliwa 1 Aprili 2000) ni mchezaji wa soka wa Uingereza anayecheza nafasi ya ushambuliaji katika klabu ya Liverpool F.C. inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza U18.

Huyu ni mmoja ya wachezaji wa Uingereza ambao walibeba kombe la FIFA U17 mwaka 2017.Rein Brewster ndiye mchezaji aliyebeba tuzo ya mfungaji bora katika mashindano hayo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rhein Brewster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.