Remy Siemsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Siemsen akiwa Sydney FC mnamo 2017

Remy Siemsen (alizaliwa 10 Novemba 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Australia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "AFCS". stats.the-afc.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. https://www.sydneyfc.com/player/remy-siemsen
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Remy Siemsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.