Red Dead Redemption

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Red Dead Redemption ni mchezo ulioandaliwa na Rockstar San Diego na kuchapishwa na Rockstar Games. Uliandaliwa kwa maonesho ya PlayStation 3 na Xbox 360 mnamo Mei 2010.

Mchezo unachezwa kutokana na mtazamo wa mazingira ya wazi ya ulimwengu, kuruhusu mchezaji kuingiliana na ulimwengu wa michezo wakati wa burudani. Mchezo huu umejumuisha mfumo wa watu wawili kucheza kwa pamoja mtandaoni.

Red Dead Redemption 2 ilitangazwa mnamo Oktoba 2016, na imepangwa kutolewa mwezi Oktoba 2018.


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Red Dead Redemption kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.