Msese (Recurvirostridae)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Recurvirostridae)
Msese | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Wasese hawa ni ndege wa familia ya Recurvirostridae (kusoma kuhusu wasese wengine tazama Msese (Scolopacidae)). Ndege hawa ni weusi na weupe na wana mdomo na miguu mirefu ilio membamba. Huonekana kando ya ziwa, bahari au mito, afadhali kwa maji ya chumvi, ambapo hutafuta chakula kwa kutumia kuiingiza midomo yao katika matope. Hula gegereka wadogo na wadudu wa maji. Hutaga mayai mawili hadi matano ardhini au juu ya majani makavu karibu na maji. Kwa kawaida matago yapo kwa makundi madogo.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Himantopus himantopus, Mlonjo au Msese Milonjo (Black-winged Stilt)
- Recurvirostra avosetta, Domojuu, Msese Domojuu au Msese Shembea (Pied Avocet)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Cladorhynchus leucocephalus (Banded Stilt)
- Himantopus leucocephalus (White-headed Stilt)
- Himantopus novaezelandiae (Black Stilt)
- Himantopus melanurus (White-backed Stilt)
- Himantopus mexicanus (Black-necked Stilt)
- Recurvirostra americana (American Avocet)
- Recurvirostra andina (Andean Avocet)
- Recurvirostra novaehollandiae (Red-necked Avocet)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Wasese walonjo wenye manyonya ya majira ya baridi
-
Msese domojuu
-
Msese domojuu akiruka angani
-
Banded stilts
-
Black stilt
-
Black-necked stilt
-
American avocet
-
Andean avocet
-
Red-necked avocet