Nenda kwa yaliyomo

Msese (Recurvirostridae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Himantopus)
Msese
Msese mlonjo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
Familia: Recurvirostridae (Ndege walio na mnasaba na wasese)
Jenasi: Cladorhynchus G.R. Gray, 1840

Himantopus Brisson, 1760
Recurvirostra Linnaeus, 1758

Wasese hawa ni ndege wa familia ya Recurvirostridae (kusoma kuhusu wasese wengine tazama Msese (Scolopacidae)). Ndege hawa ni weusi na weupe na wana mdomo na miguu mirefu ilio membamba. Huonekana kando ya ziwa, bahari au mito, afadhali kwa maji ya chumvi, ambapo hutafuta chakula kwa kutumia kuiingiza midomo yao katika matope. Hula gegereka wadogo na wadudu wa maji. Hutaga mayai mawili hadi matano ardhini au juu ya majani makavu karibu na maji. Kwa kawaida matago yapo kwa makundi madogo.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]