Rasi ya Baja Kalifornia
Mandhari
Rasi ya Baja California (tamka "ba-kha ka-li-for-ni-a", au Kalifornia ya chini) ni rasi ya Amerika Kaskazini. Iko kaskazini-magharibi mwa Mexico.
Urefu wake ni kilomita 1,250 kutoka kaskazini hadi Cabo San Lucas upande wa kusini. Rasi hii inatenganisha Bahari ya Pasifiki kutoka Ghuba ya Kalifornia.
Majimbo ya Mexiko ya Baja California Sur na Baja California yanapatikana kwenye rasi hiyo.
Eneo lake ni km2 143,396.
Tovuti nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Ramani za google
- Baja.net Archived 3 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- Baja California
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Baja Kalifornia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |