Nenda kwa yaliyomo

Baja California Sur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiwanja cha ndege cha Los Cabos,San José del Cabo, Baja California Sur
Bendera ya Baja California Sur
Mahali pa Baja California Sur katika Mexiko

Baja California Sur ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa magharibi ya nchi. Baja California na Baja California Sur ni rasi kubwa katika Mexiko. Upande wa mashariki ni Ghuba ya California na upande wa magharibi ni maji ya Pasifiki.

Imepakana na Baja California. Imekuwa jimbo ya Mexiko tangu 1974.

Mji mkuu na mji mkubwa ni La Paz (salama).

Gavana wa jimbo ni Narciso Agúndez Montaño.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mkubwa

[hariri | hariri chanzo]
  1. La Paz (189,176)
  2. San José del Cabo (48,518)
  3. Ciudad Constitución (37,221)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Baja California Sur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.