Muziki wa hip hop
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rap na Hip Hop)
Muziki wa hip hop ni aina ya muziki ulioanza kunako miaka ya 1970, ukiwa umeanzishwa na Wamarekani weusi katika miji mikubwa ya Marekani.
Hip hop mara nyingi inatumia staili moja ya kuimba iitwayo kurap au kufokafoka na ambayo mwimbaji anatoa au anaimba maneno-mashairi yaambatanayo na vina. Mashairi mengi yaliyoimbwa katika muziki wa hip hop yalikuwa yakizungumzia maisha halisi ya Watu weusi wa nchini Marekani, sanasana katika miji mikubwa.
Kuna baadhi ya mashairi ya muziki wa hip hop yanayozungumzia wahuni, uhalifu, na utumiaji haramu wa madawa ya kulevya.
Muziki wa hip hop pia huchukua tabia (mwenendo) wa staili za muziki wa pop, yaani kama disko na reggae.
Soma zaidi
[hariri | hariri chanzo]- David Toop (1984/1991). Rap Attack II: African Rap To Global Hip Hop. New York. New York: Serpent's Tail. ISBN 1-85242-243-2.
- McLeod, Kembrew. Interview with Chuck D and Hank Shocklee. 2002. Stay Free Magazine.
- Yes Yes Y'All: Oral History of Hip Hop's First Decade. Fricke, Jim and Charlie Ahearn (eds). Experience Music Project. Perseus Books Group. ISBN 0-306-81184-7
- Corvino, Daniel and Livernoche, Shawn (2000). A Brief History of Rhyme and Bass: Growing Up With Hip Hop. Tinicum, PA: Xlibris Corporation/The Lightning Source, Inc. ISBN 1-4010-2851-9
- Chang, Jeff. "Can't Stop, Won't Stop".
- Rose, Tricia (1994). "Black Noise". Middletown, Connecticut: Wesleyan University Press. ISBN 0-8195-6275-0
- Potter, Russell (1995) Spectacular Vernaculars: Hip-Hop and the Politics of Postmodernism. Albany: SUNY Press. ISBN 0-7914-2626-2
- Light, Alan (ed). (1999). The VIBE History of Hip-Hop. New York: Three Rivers Press. ISBN 0-609-80503-7
- George, Nelson (2000, rev. 2005). Hip-Hop America. New York: Penguin Books. ISBN 0-14-028022-7
- Fricke, Jim and Ahearn, Charlie (eds). (2002). Yes Yes Y'All: The Experience Music Project Oral History of Hip Hop's First Decade. New York: Da Capo Press. ISBN 0-306-81184-7
- Kitwana, Bakar (2004). The State of Hip-Hop Generation: how hip-hop's culture movement is evolving into political power. Retrieved 4 Desemba 2006. From Ohio Link Database.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- When did Reggae become Rap? Ilihifadhiwa 20 Machi 2015 kwenye Wayback Machine. by D.George
- Hip Hop Influenced Community by J. Boss
- "In the Heart of Freedom, In Chains": 2007 City Journal article on Hip Hop and Black America Ilihifadhiwa 12 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
- Olivo, W. (2001). "Phat Lines: Spelling Conventions in Rap Music". Written Language & Literacy. 4 (1): 67–85. doi:10.1075/wll.4.1.05oli.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|month=
ignored (help) - McLeod, Kembrew. Interview with Chuck D and Hank Shocklee. 2002. Stay Free Magazine, issue 20. Retrieved from http://www.stayfreemagazine.org/archives/20/public_enemy.html Ilihifadhiwa 11 Januari 2008 kwenye Wayback Machine. on 9 Julai 2006.
- Turk Hiphop Culture | www.TurkHiphop.Net Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa hip hop kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |