Randal Kolo Muani
Mandhari
Randal Kolo Muani (alizaliwa 5 Desemba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ufaransa.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Randal Kolo Muani". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 1998-12-05. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
- ↑ "PSG 3-0 Milan (Oct 25, 2023) Game Analysis". ESPN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Randal Kolo Muani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |