Randal Cremer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Randal Cremer

Randal Cremer (18 Machi 183822 Julai 1908) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kutoka nchi ya Uingereza.

Anajulikana pia kwa maandishi yake yaliyojaribu kuzuia vita. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani. Mwaka wa 1907 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randal Cremer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.