Ramona Petzelberger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Petzerberger akichezea SGS Essen mnamo 2019

Ramona Petzelberger (alizaliwa 13 Novemba 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Ujerumani. Mnamo 2022 aliitwa kwenye timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramona Petzelberger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.