Nenda kwa yaliyomo

Rachel Daly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daly akiwa na Uingereza mnamo 2022

Rachel Ann Daly (alizaliwa 6 Disemba 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa[2][3] inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya FA. Baada ya kutumia muda mwingi wa kazi yake na Houston Dash katika NWSL, alitumia maisha yake ya ujana huko Leeds United.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. Aston Villa Football Club (2022-08-09). "Rachel Daly joins Aston Villa Women!". Aston Villa Football Club. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
  3. "Daly hits debut double as Villa edge WSL thriller", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-21
  4. Jennifer Gordon (2014-07-27). "W-League, WPSL trophies heading to California – Equalizer Soccer" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-22.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Daly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.