Racheal Nanyonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Racheal Nanyonga Mwaikambo
Alizaliwa 25 October 1990
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji



Racheal Nanyonga (alizaliwa 25 Oktoba 1990) ni mchezaji wa netiboli wa Uganda ambaye anawakilisha timu ya Taifa ya netiboli ya Uganda kimataifa na anacheza katika nafasi ya ushambuliaji wa goli. [1] Ameiwakilisha Uganda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola 2018 na Kombe la Dunia la Netiboli la 2019. [2] [3]s

  1. "Racheal Nanyonga". Netball Draft Central (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-09-08. 
  2. "Netball | Athlete Profile: Nanyonga RACHEAL - Gold Coast 2018 Commonwealth Games". results.gc2018.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-25. Iliwekwa mnamo 2019-09-08. 
  3. "Uganda". Netball Draft Central (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-09-08. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Racheal Nanyonga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]