Nenda kwa yaliyomo

Race 3

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Race 3 ni filamu ya kihindi ya mwaka 2018 iliyoongozwa na Remo D'Souza na kutengenezwa na Salman Khan. Filamu hiyo inawashirikisha Salman Khan, Anil Kapoor, Bobby Deol, Jacqueline Fernandez, Daisy Shah, Saqib Saleem na Freddy Daruwala. Filamu hii ni sehemu ya tatu ya safu ya filamu ya Race iliyotolewa mwaka 2008 na Race 2 munamo 2013 Ingawa inafanana kidogo na filamu zilizotangulia. Race 3 ilitolewa munamo 15 Juni 2018.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Race 3 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.