Qurnat as Sawda'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Qurnat as Sawda'

Qurnat as Sawda' (kwa Kiarabu: القرنة السوداء‎) ndio mlima wa juu kati ya milima ya Lebanoni, ukiwa na kimo cha mita 3,088 juu ya UB.

Kuanzia mwezi Novemba hadi Aprili hufunikwa na theluji iliyosababisha milima kuitwa "leban" yaani nyeupe.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Qurnat as Sawda' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.