Qasim Amin
Mandhari
Qasim Amin (hutamkwa [ˈʔæːsem ʔæˈmiːn], Kiarabu cha Misri: قاسم أمين; Aleksandria, 1 Desemba 1863 [1] - Kairo, 22 Aprili 1908) alikuwa mwanasheria wa Misri, Mwislamu wa kisasa[2] na mmoja wa waanzilishi wa harakati za kitaifa za Misri na Chuo Kikuu cha Kairo.
Qasim Amin kihistoria anaonekana kama ni mwanaharakati wa kwanza kutetea haki za wanawake kutokea Uarabuni ingawa alijiunga na mjadala wa utetezi wa wanawake unaorudisha nyuma maendeleo[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mansoor, Menahem (1972). Political and Diplomatic History of the Arab World, 1900-1967: 1965-67 (kwa Kiingereza). NCR Microcard Editions. ISBN 978-0-910972-09-3.
- ↑ Kurzman, Charles (2002). Modernist Islam, 1840-1940: A Sourcebook (kwa Kiingereza). Oxford University Press. ISBN 978-0-19-515468-9.
- ↑ Tripp, Charles (2006-07-20). Islam and the Moral Economy: The Challenge of Capitalism (kwa Kiingereza). Cambridge University Press. ISBN 978-1-139-45715-6.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Qasim Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |