Rakuni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Procyon)
Rakuni | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Rakuni wa Kawaida (Procyon lotor)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 3: |
Rakuni (kutoka Kiing.: raccoon) ni wanyama wa Amerika wenye kinyago cheusi kwa uso wao.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Procyon cancrivorus, Rakuni mlakaa (Crab-eating raccoon)
- Procyon lotor, Rakuni kaskazi (Common raccoon)
- Procyon pygmaeus, Rakuni wa Kisiwa cha Cozumel (Cozumel Island raccoon)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Rakuni mlakaa
-
Rakuni wa Kisiwa cha Cozumel
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rakuni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |