Priyanka Dhillon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Priyanka Dhillon (amezaliwa Januari 24, 1993)[1] ni bondia wa Kanada katika uzani wa minimum weight. Alishiriki katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2022, katika kategoria ya Minimum weight, na akashinda medali ya shaba.[2][3][4][5]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Dhillon alikuwa mwanariadha katika Shule ya Upili ya Sisler akawa bondia wa kwanza kutoka Manitoba kushiriki katika Mashindano ya Dunia ya IBA.[6][7]

Marejo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Priyanka Dhillon". Birmingham2022.com. Birmingham Organising Committee for the 2022 Commonwealth Games Limited. Iliwekwa mnamo 17 August 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Priyanka Dhillon". boxrec. 
  3. Onyatta, Omondi (August 4, 2022). "Ongare applauds Canadian opponent after loss at Commonwealth Games". Capital Sports (kwa en-US). Iliwekwa mnamo August 10, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Ganguly, Saurabh (August 6, 2022). "CWG 2022 Boxing: Nitu Ghanghas ensures silver medal, beats Priyanka Dhillon in semifinal". SportsTiger (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo August 10, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Wray, Sydney (August 7, 2022). "2022 Commonwealth Games: Canada captures 17 medals on Day 9". Team Canada - Official Olympic Team Website (kwa en-US). Iliwekwa mnamo August 10, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Making history in the ring", 3 May 2022. 
  7. "Two Medals for Team Canada at the IBA Women's World Championships – Boxing Canada" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo September 21, 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Priyanka Dhillon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.