Priscus Tarimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Priscus Tarimo
Mbunge wa Moshi Mjini
Novemba 2020 –
Jimbo la uchaguzi Moshi Mjini
Mahali pa kuzaliwa Rombo,
Mkoa wa Kilimanjaro
Chama Chama Cha Mapinduzi
Alingia ofisini 2021
Alitanguliwa na Michael Mmari
Dini Mkristo Mkatoliki
Kazi mfanyabiashara, mwanasiasa


Priscus Jacob Tarimo (alizaliwa mkoani Kilimanjaro) ni mfanyabiashara na mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Kilimanjaro na sasa anahudumu kama Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi jimbo la Moshi Mjini tangu Novemba 2020.[1] [2]Pia ni mjumbe wa bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi Mjini (MUSWA).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Priscus Tarimo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-21, iliwekwa mnamo 2021-06-20 
  2. "Priscus Tarimo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-21, iliwekwa mnamo 2021-06-20 
  3. "Priscus Tarimo", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-21, iliwekwa mnamo 2021-06-20