Princess Shyngle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Princess Shyngle
Amezaliwa Princess Shyngle
25 Disemba 1990
Bendera ya Ghana Ghana
Kazi yake Mwigizaji wa Filamu
Miaka ya kazi 2011 - hadi sasa

Princess Shyngle (amezaliwa 25 Disemba 1990) ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa Gambia.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Princess Shyngle alizaliwa nchini Gambia. Baba yake, Winston Shyngle, alikuwa naibu meya nchini Gambia na mamake alikuwa mfanyabiashara. Alipata elimu yake ya shule ya msingi na sekondari huko Gambia huko Afrika Magharibi. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Princess Shyngle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

No

  1. "Who is Princess Shyngle? All you need to know about her". Pulse Nigeria (kwa en-US). 2019-08-27. Iliwekwa mnamo 2020-06-10.