Pridi Banomyong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pridi Banomyong (kwa Kithai: ปรีดี พนมยงค์; 11 Mei 1900 - 2 Mei 1983) alikuwa mwanasiasa na profesa wa Uthai.

Alikuwa waziri mkuu na kiongozi wa juu wa Thailand, na jubilei ya kutimiza karne tangu kuzaliwa kwake ilisherehekewa na UNESCO mnamo 2000.