Pretoria Heat
Mandhari
Pretoria Heat ni timu ya mpira wa kikapu ya Afrika kusini inayopatikana katika mji mkuu wa Pretoria, Gauteng Province. Timu hii iliweza kuzalisha baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu kwa kutoa baadhi ya wachezaji muhimu kama Shane Marhanele na Neo Mothiba ambao wote walikua wakianza katika kikosi cha kwanza katika mashindano ya Ubingwa wa Afrika FIBA 2011 huko nchini Madagaska.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Team South Africa Profile - 2011 FIBA Africa Championship | FIBA.COM". web.archive.org. 2013-09-21. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-21. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
{{cite web}}
: no-break space character in|title=
at position 26 (help)