Neo Mothiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neo Kgalabi Mothiba (alzaliwa 21 Machi, 1982)[1] ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Afrika Kusini alichezea timu kama Tshwane Suns na Egoli Magic zilizo shiliki ligi kuu ya mpira wa kikapu (BNL) huko Afrika ya Kusini. Pia alikua mchezaji wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Afrika ya kusini na alihudumu katika clabu kwa kipindi cha miaka ya 2005, 2007, na mwaka 2009 katika mashindano ya Afrika ya mpira wa kikapu pamoja na michezo ya commonwealth ya 2006.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Neo Mothiba - Bio, Net Worth, Age, Birthday, Dating, Wiki! (en-US) (2021-09-17). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-09-02. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. Neo Mothiba profile, FIBA Africa Championship for Men 2009. FIBA.COM. Iliwekwa mnamo 2022-09-01.[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neo Mothiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.