Egoli Magic
Egoli Magic ni klabu ya mpira wa kikapu inayopatikana Johannesburg, Afrika Kusini. Timu hiyo ilianzishwa mwaka 1994, kwa sasa inashirika ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini.[1] Ni timu yenye mafanikio makubwa kwenye BNL, ikishinda ubigwa mara tano, mwaka 2015, 2016, 2019, 2020 na 2021.[2]
Mataji[hariri | hariri chanzo]
- Mabingwa (5): 2015, 2016, 2019, 2020, 2021[3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Egoli Magic", Wikipedia (in English), 2021-12-22, retrieved 2022-09-02
- ↑ Egoli Produces Magic – Basketball National League (en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
- ↑ Egoli Magic – Basketball National League (en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.