Tshwane Suns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tshwane Suns ni timu ya mpira waa kikapu inayopatikana Tshwane, Afrika Kusini. Timu ilishiriki katika mashindano ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1]

Uwanja[hariri | hariri chanzo]

Kama ilivyo kwa timu nyingine za Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu.[1] Suns wanacheza michezo yao katika viwanja vya Wembley vilivyopo Stafford , Gauteng, katika mji wa Johannesburg Metropolitani Municipality, uwanja wa zamani wa barafu ambao huchukua hadi wageni 3,000.[1]

Wachezaji Mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

- Awe na historia na mchango katika maendeleo ya clabu au awe na tuzo binafsi kama mchezaji maarufu.

- Awe angalau ameshacheza mechi za kimataifa akiwa katika timu yake ya kawaida

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Boroughs, Don (2015-08-03), "Basketball (And The NBA) Try To Find Fans In South Africa", NPR (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-09-02