Precious Dede

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Precious Uzoaru Dede
Amezaliwa Precious Dede
18 January 1980
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa mguu


Precious Uzoaru Dede (alizaliwa 18 Januari 1980) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambae aliyecheza kama golikipa. Zamani alicheza katika klabu kadhaa kama vile Delta Queens FC, Ibom Queens na Arna-Bjørnar, na pia kuonekana mara 99 katika timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", FIFA. Retrieved on 2022-05-13. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. Ellinsen, Roy (31 March 2009). "Nigerianer til Arna-Bjørnar" (kwa Norwegian). Aftenposten. Iliwekwa mnamo 14 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Precious Dede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.