Porto Velho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Porto Velho







Porto Velho

Bendera
Majiranukta: 8°45′43″S 63°54′14″W / 8.76194°S 63.90389°W / -8.76194; -63.90389
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Rondônia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 379,186
Tovuti:  www.portovelho.ro.gov.br

Porto Velho ni mji mkuu wa jimbo la Rondônia katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao 380,000 wanaoishi katika mji huo. Mji upo m 85 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Porto Velho ni mji wa bandari uliopo kwenye Mto Madeira. Wakati wa miezi ya mvua usawa wa maji hupanda juu, na meli kutoka Atlantiki hufikia Porto Velho.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Porto Velho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.