Nenda kwa yaliyomo

Pombia Safari Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pombia Safari Park

Simba wa Piombia
Mahali Italia
Nearest cityPombia
Eneo400.000 m2
Kuanzishwa1976

Pombia Safari Park ni mbuga wa safari, zoo na eneo la burudani karibu na mji wa Pombia, Piemonte, kaskazini mwa Italia.

Iliundwa mwaka 1976 ikapanushwa kuwa na eneo la mita za mraba 400.000 (hektari 40).

Kuna takriban wanyama 600 pamoja na simba, tiger, punda milia, twiga na wanayama wengine wa pori.

Picha


Viungo vya Nje