Pierre Antonini
Mandhari
Pierre Antonini ni profesa mstaafu wa masomo ya hisabati kutoka Ufaransa na mtaalamu wa nyota ambaye amegundua sayari kadhaa ndogo sana na nyota mbili katika uchunguzi wake huko Bédoin, kusini mashariki mwa Ufaransa.
Katika uchunguzi wake alitumia darubini ya sentimeta 16 na 30.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pierre Antonini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |