Philip Telford George
Mandhari
Philip Telford Georges alikuwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1965 hadi 1971, pia aliongoza katika nyadhifa nyingine kadhaa za jaji wa mahakama ya rufaa.
Alizaliwa na John Henry Duport Georges na Milutine Cox na huko Roseau, Dominica mnamo Januari 5, 1923. [1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Chuo Kikuu cha Toronto huko, London, akisomea masomo ya Daktari wa Sheria (Toronto, Dar es Salaam, West Indies).
Kazi
[hariri | hariri chanzo]- Mlinzi wa umma, Trinidad Bar 1947
- Jaji, Benchi la Trinidad 1962-1965
- Jaji Mkuu, Mahakama Kuu ya Tanzania, 1965–1971
- Profesa wa Sheria, Chuo Kikuu cha West Indies 1974-1981
- Jaji, Mahakama Kuu ya Zimbabwe, 1981–1983
- Jaji Mkuu, Mahakama Kuu ya Zimbabwe, 1983–1984
- Jaji Mkuu, Mahakama Kuu ya Bahamas, 1984–1989
- Jaji, Mahakama ya Rufaa, Visiwa vya Cayman tangu 1985
- Jaji, Mahakama ya Rufaa, Shelisheli tangu 1987
- Jaji, Mahakama ya Rufaa, Bermuda tangu 1990
Kifo
[hariri | hariri chanzo]Jaji Georges alifariki tarehe 13 Januari 2005. Alikuwa na umri wa miaka 82.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Georges, Joyce Cole. "DAAS Honors HON. CHIEF JUSTICE PHILIP TELFORD GEORGES, OCC, DAH". Dominican Academy of Arts and Sciences. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Philip Telford George kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |