Nenda kwa yaliyomo

Philadelphia 76ers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wachezaji wa timu ya Philadelphia 76ers

Philadelphia 76ers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Philadelphia, Pennsylvania. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Katika Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani, inacheza Tawi la Atlantic 'Atlantic Division' katika Ligi ya Mashariki 'Eastern Conference'[1][2][3].

Mjini Philadelphia, Katiba ya Uhuru lilisaini katika mwaka 1776, ambayo ni sababu ya jina la ‘76ers’[4].

Dola bilioni mbili ni “thamani ya inakadiriwa” ya timu (‘franchise’) ya 76ers (2020)[5]. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Joel Embiid, Ben Simmons.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Katika mwaka elfu moja mia tisa na thelathini na tisa, timu ilianza mjini Syracuse, jimbo la New York[6]

Jina la timu hii ni ‘Nationals’, si 76ers[7]. Timu hii ilihamisha kutoka mji wa Syracuse mpaka mji wa Philadelphia katika mwaka elfu moja mia tisa na sitini na tatu[8]. Pia, jina la timu limegeuzwa kutoka Nationals mpaka 76ers katika mwaka huu[9]

Kikombe[hariri | hariri chanzo]

Katika historia ya timu, imeshinda kikombe cha Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani cha tatu[10]: katika mwaka elfu moja mia tisa na hamsini na tano[11] dhidi ya timu ya ‘Pistons’ (timu hii ni timu ya Nationals, si 76ers)[12], mwaka elfu moja mia tisa na sitini na saba[13] dhidi ya timu ya ‘Warriors’[14], na mwaka elfu moja mia tisa na themanini na tatu[15] dhidi ya timu ya ‘Lakers’[16][17].

Uwanja wa Michezo[hariri | hariri chanzo]

Spectrum, iliyoonyeshwa mnamo mwaka 2005, ilishikilia 76ers kutoka 1967 hadi 1996.
Kituo cha Wells Fargo, kinachojulikana kama CoreStates (mwaka 1996-1998), Umoja wa Kwanza (mwaka 1998-2003), na Kituo cha Wachovia (Mwaka 2003-2010), kwa sasa ni uwanja wa nyumbani wa 76ers.
 • Uwanja wa michezo wa ‘Wells Fargo Center’[18]
  • Uwanja wa michezo wa ‘Wells Fargo Center’ upo mji wa Philadelphia[19][20].
  • Kuanzia katika mwaka elfu moja mia tisa na tisini na sita, timu imecheza katika uwanja wa michezo huu[21][22].
  • Uwezo kwa uwanja wa michezo wa ‘Wells Fargo Center’, kwa mechi za 76ers, ni watu elfu ishirini na moja[23].

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya wachezaji kwa timu ya 76ers[24]:

 • Justin Anderson
 • Tony Bradley
 • Ryan Broekhoff
 • Seth Curry
 • Joel Embiid
 • Terrance Ferguson
 • Danny Green
 • Tobias Harris
 • Dwight Howard
 • Isaiah Joe
 • Furkan Korkmaz
 • Dakota Mathias
 • Tyrese Maxey
 • Shake Milton
 • Kyle O’Quinn
 • Vincent Poirier
 • Paul Reed
 • Mike Scott
 • Ben Simmons
 • Matisse Thybulle
 • Derrick Walton Jr.

Kocha[hariri | hariri chanzo]

Kocha Mkuu[25][hariri | hariri chanzo]

 • Doc Rivers

Kocha Msaidizi[26][hariri | hariri chanzo]

 • Dave Joerger
 • Sam Cassell
 • Dan Burke
 • Popeye Jones
 • Eric Hughes
 • Brian Adams

Wamiliki wa Timu[hariri | hariri chanzo]

 • Miliki mkuu wa usimamizi ‘Managing Partner’: Josh Harris[27]
 • Miliki mwenza wa usimamizi ‘Co-Managing Partner’: David Blitzer[28]
 • Wamiliki wadogo ‘Limited Partners’[29]:

'Mascot'[hariri | hariri chanzo]

'Mascot’ ya timu ya 76ers inaitwa ‘Franklin'[30].

Wachezaji wakubwa katika historia ya timu[hariri | hariri chanzo]

Kwa mfano, kuna[31]:

Julius Erving[hariri | hariri chanzo]

Julius Erving alicheza kwa timu ya 76ers kutoka msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na sabini na sita/elfu moja mia tisa na sabini na saba mpaka msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na themanini na sita/elfu moja mia tisa na themanini na saba[32][33]. Alishinda kikombe ‘championship’ cha Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani moja kwa timu ya 76ers[34][35][36], na tuzo ya ‘Most Valuable Player’ kwa Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani[37][38][39][40].

Allen Iverson[hariri | hariri chanzo]

Allen Iverson alicheza kwa timu ya 76ers kutoka msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na tisini na sita/elfu moja mia tisa na tisini na saba mpaka msimu wa mwaka elfu mbili na sita/elfu mbili na saba (baadhi ya msimu wa mwaka elfu mbili na sita/elfu mbili na saba), na pia baadhi ya msimu wa mwaka elfu mbili na tisa/elfu mbili na kumi[41]. Katika timu ya 76ers, Iverson alipata tuzo ya ‘Most Valuable Player’ kwa Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani kwa msimu wa mwaka elfu mbili/elfu mbili na moja[42][43][44].

Wilt Chamberlain[hariri | hariri chanzo]

Wilt Chamberlain alicheza kwa timu ya 76ers kutoka msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na sitini na nne/elfu moja mia tisa na sitini na tano (baadhi ya msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na sitini na nne/elfu moja mia tisa na sitini na tano) mpaka msimu wa mwaka elfu moja mia tisa na sitini na saba/elfu moja mia tisa na sitini na nane[45]. Katika timu ya 76ers, alipata tuzo za ‘Most Valuable Player’ kwa Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani tatu[46][47][48], na kikombe ‘championship’ cha Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani moja[49].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. "NBA Teams & Rosters | NBA.com". www.nba.com. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 2. "NBA Team Standings & Stats | NBA.com". www.nba.com. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 3. "NBA Team Standings & Stats | NBA.com". www.nba.com. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 4. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 5. "Philadelphia 76ers franchise value 2003-2020". Statista (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 6. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 7. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 8. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 9. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 10. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 11. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 12. "1955 NBA Finals - Pistons vs. Nationals". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-01. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 13. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 14. "History Index". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 15. "Philadelphia 76ers | History & Notable Players". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 16. "1983 NBA Finals - Lakers vs. 76ers". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-21. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 17. "History Index". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 18. Wells Fargo Center. "Philadelphia 76ers | Wells Fargo Center". www.wellsfargocenterphilly.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 19. Wells Fargo Center. "Philadelphia 76ers | Wells Fargo Center". www.wellsfargocenterphilly.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 20. "Wells Fargo Center". Wells Fargo Center. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 21. Justin Grasso. "76ers Reportedly Looking to Move out of Wells Fargo Center". Sports Illustrated Philadelphia 76ers News, Analysis and More (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 22. "Philadelphia 76ers Team History | Sports Team History". sportsteamhistory.com (kwa American English). 2016-12-25. Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 23. Wells Fargo Center. "Arena History | Wells Fargo Center". www.wellsfargocenterphilly.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 24. "76ers Roster". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 25. "76ers Roster". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 26. "76ers Roster". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 27. "Front Office Directory". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 28. "Front Office Directory". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 29. "Front Office Directory". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 30. "Franklin's Story". Philadelphia 76ers (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-13.
 31. Kyle Neubeck. "Ranking the Top 25 Players in Philadelphia 76ers History". Bleacher Report (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 32. "Julius Erving". Biography (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 33. "Julius Erving Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 34. "Julius Erving". Biography (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 35. "Julius Erving Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 36. Kyle Neubeck. "Ranking the Top 25 Players in Philadelphia 76ers History". Bleacher Report (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 37. "Julius Erving". Biography (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 38. "Julius Erving Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 39. Kyle Neubeck. "Ranking the Top 25 Players in Philadelphia 76ers History". Bleacher Report (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 40. "NBA MVP & ABA Most Valuable Player Award Winners". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-29. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 41. "Allen Iverson Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 42. "Allen Iverson Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 43. "NBA MVP & ABA Most Valuable Player Award Winners". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-29. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 44. Kyle Neubeck. "Ranking the Top 25 Players in Philadelphia 76ers History". Bleacher Report (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 45. "Wilt Chamberlain Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 46. "NBA MVP & ABA Most Valuable Player Award Winners". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-29. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 47. Kyle Neubeck. "Ranking the Top 25 Players in Philadelphia 76ers History". Bleacher Report (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 48. "Wilt Chamberlain Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
 49. "Wilt Chamberlain Stats". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Philadelphia 76ers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.