Nenda kwa yaliyomo

Pfizer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pfizer

Pfizer Inc. (inatamkwa /ˈfaɪzər/)[1] ni kampuni ya madawa ya Marekani yenye makao makuu New York City na makao makuu ya utafiti Groton, Connecticut.

Pfizer ni kati ya kampuni kubwa za dawa duniani.[2] Imeorodheshwa katika Soko la Hisa la New York.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wells, John C. (2008), Longman Pronunciation Dictionary (toleo la 3rd), Longman, ISBN 9781405881180
  2. "Pfizer moves higher amid persistent breakup talk", Bloomberg Businessweek, 27 March 2012. Retrieved on 8 July 2012. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pfizer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.