Penda Sylla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Penda Sylla (alizaliwa 3 Oktoba 1990) ni mwanamke mchezaji wa mpira wa mkono kutoka Senegal anayechezea ASPTT Strasbourg pamoja na timu ya taifa ya Senegal.[1] Alishiriki katika Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Mkono ya Wanawake ya 2019 huko Japan.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Player Details Senegal – Penda Sylla". International Handball Federation. 
  2. "2019 Women's World Handball Championship; Japan – Team Roster Senegal". International Handball Federation. Iliwekwa mnamo 1 June 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Penda Sylla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.