Pedro Rodríguez Ledesma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pedro Rodríguez Ledesma

Pedro Rodríguez Ledesma (amezaliwa 28 Julai 1987) ni mwanakandanda kutoka nchi ya Hispania na anazichezea klabu ya Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Hispania.

Pedro ni mchezaji mwenye mafanikio akiwa na klabu ya Barcelona F.C. ya Hispania. Ana uwezo wa kucheza kama winga au fowadi.

Sifa ya pekee aliyonayo ni kuwa na uwezo wa kutumia miguu yote miwili ambapo ni sawa na wachezaji kama vile Carzola, Hernanes, Sneider, Adriano Correia na Paolo Maldini.

Mafanikio: ametwaa makombe matatu ya UEFA akiwa Barcelona, Kombe la Dunia akiwa Hispania na makombe mengine akiwa Barcelona na Chelsea.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pedro Rodríguez Ledesma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.