Nenda kwa yaliyomo

Pedro Arrupe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pedro Arrupe Gondra, SJ (14 Novemba 19075 Februari 1991) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki wa hispania ambaye alihudumu kama Mkuu wa 28 wa Shirika la Yesu kutoka 1965 hadi 1983.

Ameitwa mwasisi wa pili wa Shirika hilo, aliongoza utekelezaji wa Mtaguso wa Pili wa Vatikani, hasa kuhusu imani inayotekeleza haki na chaguo la kipekee kwa maskini.[1]

  1. "Pedro Arrupe – Arrupe". arrupe.jesuitgeneral.org. Iliwekwa mnamo 2021-02-07.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.