Paul Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Walker
Paul Walker
Amezaliwa12 Septemba 1973
Ametoweka30 Novemba 2013

Paul Walker (12 Septemba 1973 - 30 Novemba 2013) alikuwa mwigizaji filamu na mshindanishaji magari wa kimataifa kutoka Marekani. Paul ameshiriki katika filamu [1]na michezo ya television zaidi ya ishirini katika uhusika tofauti, lakini hasa filamu ya fast and furious iliyompatia umaarufu mkubwa duniani. Ushiriki wake katika filamu ya fast and furious[2] umepelekea kupendekezwa na kushinda kwake tuzo kadhaa za uigizaji.

Paul Walker alifariki kwa ajali ya gari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Paul Walker filmography", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-08-29, iliwekwa mnamo 2020-10-11
  2. "Fast & Furious", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-10-11, iliwekwa mnamo 2020-10-12
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.