Nenda kwa yaliyomo

Paul W. S. Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul W. S. Anderson
Paul W. S. Anderson
Amezaliwa 4 Machi 1965 (1965-03-04) (umri 59)
Newcastle-upon-Tyne, England, UK
Kazi yake Mwongozaji wa filamu, mtayarishaji na mwandikaji muswaada andishi
Ndoa Milla Jovovich (2009–mpaka sasa)
Watoto Ever Gabo Anderson (3 Novemba 2007)

Paul William Scott Anderson (amezaliwa tar. 4 Machi 1965), pia anajulikana kama Paul W. S. Anderson au Paul Anderson, ni mwongozaji wa filamu ambaye kikawaida hufanya kazi hasa filamu za uzushi wa kisayansi na kuchukua michezo ya video na kuibadili kuileta kwenye filamu.

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Filamu Kacheza kama
Mwongozaji Mwandishi Mtayarishaji
1994 Shopping Ndiyo Ndiyo
1995 Mortal Kombat Ndiyo
1997 Event Horizon Ndiyo
1998 Soldier Ndiyo
2000 The Sight Ndiyo Ndiyo Ndiyo
2002 Resident Evil Ndiyo Ndiyo Ndiyo
2004 Alien vs. Predator Ndiyo Ndiyo
Resident Evil: Apocalypse Ndiyo Ndiyo
2005 The Dark Ndiyo
2007 DOA: Dead or Alive Ndiyo
Resident Evil: Extinction Ndiyo Ndiyo
2008 Death Race Ndiyo Ndiyo Ndiyo
2009 Pandorum Ndiyo
2010 Resident Evil: Afterlife Ndiyo Ndiyo Ndiyo

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]