Paul Sein Twa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Sein Twa ni mwanaharakati wa mazingira kutoka Karen - Myanmar. Alishinda Tuzo ya Mazingira ya Goldman ya 2020.[1][2][3][4]

Mnamo 2018, alishiriki kuanzishwa kwa Salween Peace Park.[5][6][7][8] Alikuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Asia (Asia Council).[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Paul Sein Twa". Goldman Environmental Foundation (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-04-24. 
  2. "Saw Paul Sein Twa Wins Goldman Environmental Prize". Karen News (kwa en-US). 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2021-04-26. 
  3. "Myanmar: Land rights defender Paul Sein Twa wins 2020 Goldman Environmental Prize for Asia". Business & Human Rights Resource Centre (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-26. 
  4. "Myanmar's Paul Sein Twa receives Goldman Environmental Prize 2020" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-26. 
  5. "A Visit with Conservationist and Indigenous Karen Leader Paul Sein Twa". Goldman Environmental Foundation (kwa en-US). 2021-03-31. Iliwekwa mnamo 2021-04-24. 
  6. "Prize-winning Myanmarese activist Paul Sein Twa on a park for peace -". Oasis_KrASIA (kwa Kiingereza). 2021-01-18. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-25. Iliwekwa mnamo 2021-04-24.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  7. "Paul Sein Twa, co-founder of KESAN and Salween Peace Park in Myanmar, receives Goldman Environmental Prize 2020". IUCN (kwa Kiingereza). 2020-12-04. Iliwekwa mnamo 2021-04-26. 
  8. "In Myanmar, Paul Sein Twa Helps Establish a Peace Park". Sierra Club (kwa Kiingereza). 2020-11-26. Iliwekwa mnamo 2021-04-26. 
  9. "ICCA Consortium". ICCA Consortium (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2021-04-26.