Nenda kwa yaliyomo

Paul Ryan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Ryan

Paul Davis Ryan Jr. (amezaliwa 29 Januari, 1970) ni mwanasiasa wa Marekani. Tangu 1999 aliwakilisha jimbo la Wisconsin katika Bunge la Marekani, na tangu tarehe 29 Oktoba 2015, Ryan ni spika. Mwaka wa 2012 aligombea kama kaimu wake wa Mitt Romney lakini wakashindwa na Rais Barack Obama na Joe Biden.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Ryan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.