Nenda kwa yaliyomo

Mitt Romney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mitt Romney.

Willard Mitt Romney (amezaliwa 12 Machi, 1947) ni mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri.

Amekuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Utah tangu mwaka 2019.

Kuanzia mwaka wa 2003 hadi 2007 alikuwa gavana wa jimbo la Massachusetts.

Mwaka wa 2012 aligombea urais lakini akashindwa na Rais Barack Obama.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitt Romney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.