Paul Hanmer
Mandhari
Paul Hanmer (alizaliwa 1961, Cape Town) ni mpiga kinanda wa muziki wa jazz wa nchini Afrika Kusini.[1]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Alipokuwa mtoto alisoma piano. Alisomea katika Chuo Kikuu cha Cape Two kwa miaka miwili kabla ya kuanza kazi ya muziki na mpiga gitaa Paul Petersen. [2] Mnamo miaka ya 1980 alianzisha bendi akiwa na Peter Sklair na Ian Herman huko Johannesburg. [2] Katika miaka ya 1990 alikuwa mwanachama wa Bendi ya Cool Friction iliyoongozwa na Tony Cox . Albamu yake ya kwanza, Trains to Taung, ilitolewa na Sheer Sound mwaka 1997. [2]
Orodha ya kazi za muziki
[hariri | hariri chanzo]- Trains to Taung (Sheer Sound, 1997)
- Playola (Sheer Sound, 2000)
- Window to Elsewhere (Sheer Sound, 2002)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Born in Cape Town in 1961 …". Paul Hanmer (kwa Kiingereza). 2016-12-24. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "Born in Cape Town in 1961 …". Paul Hanmer. 24 Desemba 2016. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Hanmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |