Nenda kwa yaliyomo

Paul-José M'Poku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul-José M'Poku

Paul-José M'Poku Ebunge (alizaliwa 19 Aprili 1992) ni mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Standard Liège na timu ya taifa ya Kongo.

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 19 Februari 2015, M'Poku alitangaza uamuzi wake wa kucheza katika timu ya taifa ya DR Congo, M'Poku alifunga goli lake la kwanza katika mechi ya kirafiki 28 Machi 2015, kwa kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Iraq, Mnamo Januari 2017 M'poku alichaguliwa katika kikosi cha DR Congo kwa katika Kombe la Mataifa ya africa 2017 huko Gabon.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul-José M'Poku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.