Nenda kwa yaliyomo

Patrobas Katambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patrobas Katambi, pia anajulikana kama Paschal Katambi Patrobas, ni mwanasiasa mtanzania na naibu waziri, ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira na amekuwa mbunge wa chama cha mapinduzi katika eneo bunge la Shinyanga Mjini tangu Novemba 2020. [1][2][3]

  1. "Patrobas Katambi Member of Parliament Profile".
  2. "Katambi's Government Cabinet Profile".
  3. "Patrobas Prime Minister's office Profile".