Nenda kwa yaliyomo

Patcho Mwamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patcho Mwamba ni msanii wa Muziki wa dansi na mwigizaji wa filamu na tamthilia nchini Tanzania asili yake ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo [1][2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Patcho Mwamba ni msanii katika kundi la muziki wa dansi FM Academia pia mwigizaji Bongo movie[3]

Filamu alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

mwaka Jina la filamu Mwandishi Muongozaji Marejeo
2011 Because of You Jeff Kanuti na Rose Ndauka Steven Kanumba [4]
2012 Devil Kingdom Steven Kanumba na Ally Yakuti Steven Kanumba [5]
2022 A Life to Regret Gabriella Chauke Leo Brown [6]

Nyimbo alizoimba[hariri | hariri chanzo]

mwaka Jina Albamu Marejeo
2019 Dotinata Bolingo [7]
Shani

[8]

Ukweli Tiba [9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patcho Mwamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.